Ophoro Tube - Download Nyimbo Mpya

Didah wa Wasafi FM afariki Dunia.

Didah wa Wasafi FM afariki Dunia.

Aliyekua mtangazaji wa kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM Didah Shaibu amefariki dunia usiku wa leo Tarehe 04/10/2024 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokua akipatiwa matibabu. Bado haijafahaika ugonjwa aliokuwa akiumwa ila zipo baadhi ya taarifa zisizo rasmi zikidai kuwa alikua akisumbuliwa na ugonjwa wa Moyo.

Endelea kuwa karibu nasi ili kupata taarifa rasmi ya kifo cha nguli huyu mtangazaji wa redio aliyekua akifanya vizuri hasa kwenye upande wa habari za mipasho.

Ophoro Tube tunaungana na watanzania wote kuwapa pole familia ya Didah kwa msiba huu mzito uliotufika wote.